Wewe Ni Mungu Mpasua Bahari Lyrics

Wewe Ni Mungu Mpasua Bahari Lyrics sung by Boaz Danken represents the English Music Ensemble. The name of the song is Haufananishwi/Unafanya Mambo by Boaz Danken.

Wewe Ni Mungu Mpasua Bahari Lyrics

Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

OR

Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
(rudia x4)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Video Song

This is the end of Wewe Ni Mungu Mpasua Bahari Lyrics.

If you have any suggestion or correction in the Lyrics, Please contact us or comment below.

Leave a Comment