“Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics” sung by Reuben Kigame represents the English Music Ensemble. The name of the song is Enda Nasi by Reuben Kigame.
Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics
Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe bwana wa majeshi tusikie
Kama uendi nasi hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi peke yetu enda nasi
Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako turehemu
Tusafishe baba tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako enda nasi
Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi
Tunaomba utuonyeshe njia zako Kwa maan umetuita kwa jina lako
Twalilia e bwana utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa enda nasi
Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi
Ndugu na dada yangu tafadhali usijaribu kuyamudu maisha bila yake bwana utashindwa
Yafaa tufike mahali ambapo musa alimlilia bwana na kutafuta uso wake
Na kusema bwana tafadhali enda nasi enda nasi twakuhitaji.
Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi X2
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi X2
Video Song
This is the end of “Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics”.
If you have any suggestion or correction in the Lyrics, Please contact us or comment below.