Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics

Share This Post:

Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics represents the English Music Ensemble. The name of the song is (At The Cross) Msalaba ndio Asili ya Mema.

Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics

Sioni haya kwa Bwana
Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana
Ni neno imara

Msalaba ndio asili ya mema
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima furaha daima
Njoni kafurahini papo

Kama kiti chake vivyo
Ni yake ahadi;
Alivyowekewa navyo
Kamwe havirudi

Bwana wangu tena Mungu
Ndilo lake jina!
Hataacha roho yangu
Wala kunikana

Atakiri langu jina
Mbele za Babaye
Anipe pahali tena
Mbinguni nikae

Video Song

This is the end of Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics.

If you have any suggestion or correction in the Lyrics, Please contact us or comment below.

Share This Post:

Leave a Comment