Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics – Iyanii

Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics sung by Iyanii represents the English Music Ensemble. The name of the song is Pombe by Iyanii.

Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics

Pombe leta pombe
Pombe leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe leta pombe
Pombe

Raha najipa mwenyewe,leta pombe tulewe
Kila mtu apewe, tulewe tulewe
Sina doo lakini lazima pombe
Sherehe aibambi bila pombe
Hapa kwa bash tumelewa pombe
Pombe pombe pombe
Pombe pombe pombe
Shida nikilewa pombe,nakua muhongo sana
Shida nikilewa pombe,naongea kizungu sana
Shida nikilewa pombe,dem za watu ni warembo sana

Pombe leta pombe
Pombe leta pombe
Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe

Aya kila mtu aekewe drink basi
Wei ko wapi tumbla yako,? ndo hii”
Kila mtu hako na pombe, eehh
Above the head, (above the head)
Below the belly, (below the belly)
Across the ni^^^es, ( across the ni^^^es)
Smooch those ni^^^es, (mwaa mwaa)
Smooch those ni^^^es,( mwaa mwaa)
Now swaga that baga , uui
Now swaga that baga , uui
Binguni akuna pombe, ndo maana tunakunywa pombe
Napenda kwa jug sio kikombe
Tukunywe tulewe pombe

Pombe leta pombe
Pombe leta pombe
Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe

Video Song

https://youtu.be/GEMvUlrbh4E

This is the end of Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics.

If you have any suggestion or correction in the Lyrics, Please contact us or comment below.

Leave a Comment