“Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics” sung by Iyanii represents the English Music Ensemble. The name of the song is Pombe by Iyanii.
Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics
Pombe leta pombe Pombe leta pombe Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe
Raha najipa mwenyewe,leta pombe tulewe Kila mtu apewe, tulewe tulewe Sina doo lakini lazima pombe Sherehe aibambi bila pombe Hapa kwa bash tumelewa pombe Pombe pombe pombe Pombe pombe pombe Shida nikilewa pombe,nakua muhongo sana Shida nikilewa pombe,naongea kizungu sana Shida nikilewa pombe,dem za watu ni warembo sana
Pombe leta pombe Pombe leta pombe Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe
Aya kila mtu aekewe drink basi Wei ko wapi tumbla yako,? ndo hii” Kila mtu hako na pombe, eehh Above the head, (above the head) Below the belly, (below the belly) Across the ni^^^es, ( across the ni^^^es) Smooch those ni^^^es, (mwaa mwaa) Smooch those ni^^^es,( mwaa mwaa) Now swaga that baga , uui Now swaga that baga , uui Binguni akuna pombe, ndo maana tunakunywa pombe Napenda kwa jug sio kikombe Tukunywe tulewe pombe
Pombe leta pombe Pombe leta pombe Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe
Video Song
This is the end of “Kila Mtu Ako Na Pombe Lyrics”.
If you have any suggestion or correction in the Lyrics, Please contact us or comment below.