Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics – Rehema Simfukwe

Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics sung by Rehema Simfukwe represents the English Music Ensemble. The name of the song is Chanzo by Rehema Simfukwe.

Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics

Ooh oh ooh

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu

Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu

Ninajua udhaifu na kuwa na afya
Katika yote wewe Bado Mungu

Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
(ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua Nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu

Video Song

This is the end of Chanzo Cha Uhai Wangu Lyrics.

If you have any suggestion or correction in the Lyrics, Please contact us or comment below.

Leave a Comment